SISI
NI NANI
Shirika hili liliundwa 1992
huko Barcelona, na ni shirika ambalo linajitengmea (yaani
halijihusishi na serikali wala dhehebu lolote) katika kuwahudumia
binadamu katika miradi ya kujikendeleza wanapopiga hatua kujikomboa
kiutamanduni kiuchumi na kisiasa. SOS AFRIKA katika ubora wake ni
shirika linalo wahudumia Waafrika na Asúa, huduma kwa watoto na
tumaini lao la usoni katika uhuru na heshima. Shirika hili la
SOS
AFRIKA liko jinsi lilivyo kwa ajili ya wale wanalolizaidia,
shukrani.
JUKUMU
LETU
Afrika, tumezaidia, na
tunasidia na kukimu shughuli na miradi ya mashirika madogo tulio na
mtazamo sawia wa kuchanganua na maono ya Afrika.
Fauka ya upungufu wao unaodhirika, kuna wao wanaofahamikiwa na hali
zilizoko, tamaduni, lugha, na matanzamo wa watu. Wengi wao
wanatafuta suluhisho la kudumu kwa shinda zilizowalemea, hivi ni
kusema, wako katika utaratibu na maazimio ya kweli na mahitaji
halisi ya wenyeji ukituzaidia umewazaidia.
Katika Europa tunahusika na
kufahamisha kupitia kwa (kangamono, semina, tamasha na kozi
zinazopendekezwa kwa waafrika waliohama, kampeni za ushirikiano
kushutumuna metendo ya uasi). Katika kusadiki unuhimu wa mabadiliko
makubwa ya kitabia na mtazamo wa kiulumengu haswa wa serikali.
MADHUMUNI
Kwa sababu shirika la HUA
linatabua maendeleo kwa njia ya kujikomboa na kama kupiga hatua
kuelekea kujipatia uhuru kamili, waafrika wanaume na wanawake ambao
shirika hili linasaidia, (wakizaidiwa na Europa kutoka kwa watu
walio na malengo sawia), wanachukua hatua, wanaendelea kuvunja nira
na kufanya kazi mashinani katika Afrika ili kawafaida wenyenji
katika nyanja zote.
Katika nyanja za afya, lishe,
elimu, zaraa, kuzikinduka kisiasa na hali ya kurudia na kuendeleaza
tamanduni za wenyaji nk.
Mradi wetu wa kwanza ni binadamu na kuboresha hali
yake ya maisha kumsaidia kujikomboa ndiyo lengo letu.
KUJITOLEA
KWETU
Kujitolea kwa HUA ni kuboresha hali ya maisha ya
wengi na waafrika, haswa watoto na kuchangua kukuza jamii huru za
waafrika.
Kujitolea huku niwajibu wetu
ili kuweza kutimiza malengo yetu ya ukombozi kutokana na njaa,
ujinga, kunyimwa, huzuni, dhuluma, yashaka, utengemezi na kwa kifupi
utumwa ukombozi huu ni msingi utakao hakikisaha heshima ya binadamu,
ustawi, maendeleo, uhuru, amani na haki zote za binadamu.
Sharti la bahatisho hili
linabeba maana ya ukweli na dhibitisho na sababu ya matendo ya
SOS
AFRIKA.
Bila bahatizo hili wanaume na
wanawake watapoteza uharali katika nchi zote zinazoelekea
kujikomboa.
JINSI
YA KUSHIRIKI
Wanahitaji msaada wako,
Tunahuitaji. Ukijitia moyo kushirikiana na SOS AFRIKA, pamoja na
wanaume na wanawake ambao katika bara la Afrika wanafasha
ushirikiano na maendeleo ya ukombozi kuwezekana, unaweza kuchagua
kati ya njia zifuatazo kushiriki.
Kama mzaidizi wa HUA
AFRIKA ukiendeleza moradi yake.
Utashiriki katika furaha yako
na ustawi. Utashiniki katika kugharamia miradi ya jumuhia za wenyeji
wanaohitaji usaidizi wa SOS AFRIKA. Kwa mchango wako wa kila mwezi,
utakuwa mshiriki wa kweli. Kutoka kwa “kuinua” ushirikiano utaweza
kusaidia ili kuwezesha waafrika wenyewe “in situ” maana yake kujenga
nyumba. Shule kuandaa hospitali, kuchimba visima, kununua mbegu,
kuchochea kampeni za kufahamishana kati ya wenyeji, kuzatiti maisha
ya kisiasa, kuchochea demokrasia na kuishi pamoja, kuimarisha na
kudhamini desturi, kutia nguvu ustahi na kujitengemea kwao, na
kudhamini tene tamaduni zao zinazofaa n.k. kwa kifupi utachangia
katika maendeleo ya uhuru.
Tafadhali ikiwa unaweza:
Himili wanaume na wanawake wa waafrika wanaofanya
ushirikiano kunawezekana kama mdhamini wa kiume ama wa kike wa
msichana na mvulana wachanga kiafrika, watoto wa Afrika haswa wa:
Wengine tayari wanawadhamini wa kiume na wadhamini
wa kike. Wengine wengi wanagoja. Udahamini huu wa kibinafsi ni njia
mwafaka utaosaindia mvulana au msichana ambaye picha na barua zake
tunakutumia. Kwa 20€ utazaidia kuboresha hali ya maisha ya mvulana
au msichana huyu. Utazaidia katika elimu ya kimsingi na mahitaji ya
kimatibabu ili kumwezesha kufanikiwa katika maisha yake ya usoni
kadhalika uzaidizihuu utasaidia watoto wengine na jamii nzima.
Shukrani kwa miradi inayohusika.
Tafadhali ukiwa
unawenza:
dhamini msichana
au mvulana wa Afrika.
Ukiwa mfadhili wa kike au wa kiume kuhusu shirikiano
la mtoto mmoja hadi mwingine. Watoto wengi ambao wazazi wao
wafadhili watoto wa kiafrika kwa kawaida wanasaidia kwa kuongezea 3€
(500pesetas) kwa ununuzi wa vifaa vya kusoma vya mtoto anaye
fadhiliwa. Unaweza kumshirikisha mvulana wako au msichana wako
katika kazi hii nzuri.
Fadhili mvulana au
msichana wa kiafrika.
Kama shirika (shule, parokia, jumuia)
Shule nyingi, parokia, na jumuia nyingi wamejitolea
katika kuelimisha na matengenezo ya shule nyingi, parokia, na jumuia
nyingi wamejitolea katika kuelimisha na matengenezo ya mtoto 1,2
hadi watoto watatu ingefaa zaidi ikiwa wengine wengi wangejitolea.
Fadhili msichana
au mvulana wa kiafrika
Kama mshiriki wa mda au katika hali ya kizushi cha
ghafla kwa binadamu.
Pia waweza kusaidia katika kuandaa kampeni za
ushirikiano na kutoa mchango kwa chama kupitia mojawapo ya mashirika
ya benki zifuatazo:
Benki ya MADRID: 2038 9900 60
6000446834
Benki ya SABADELL: 0081 0114
40 00011713124 (Akaounti za wafadhili)
BANESTO: 0030 2549
970000055271
BBVA: 0182 5734 30 0011500022
La
CAIXA: 2100 0835 12 0200503096
Kwa:
Kujipatia baadhi ya bidhaa kama shati, pini, vitabu,
kadi za krismasi n.k.
Tafadhali ikiwa unaweza:
Toa mchango wako wa ushirikiano na upande mbegu ya uhuru.